Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengiwatakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapoambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakinihawajapata wa kuwaowa