Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki; MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu atakubariki zaidi PEDESHE: Samahani Mchungaji haitakuwa vizuri mimi kuchangia kanisa, fedha zangu ni haramu, huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya kulevya. MCHUNGAJI: Yote ni heri, pesa yako tutatumia kwa kujenga eneo la choo we toa tu!!!