Mke: Naelekea london, nikuletee zawadi gani?

Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?

Mke: we omba Alafu utaona.

Mume: Niletee msichana wa kizungu.

Mke: (mke akaendaLondon na kurudi)

Mume: zawadi yangu iko wapi?

Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! 😂😂😂😂😂😂😜🙈
Pia Wamama hawapendi ujinga