*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜