๐Ÿ‘ง: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"

๐Ÿ‘จ: "poa, na wewe acha kutumia make up"

๐Ÿ‘ง: "Mimi napaka make up ili unione mzuri"

๐Ÿ‘จ: "Na mimi nalewa ili nikuone mzuri"

Vodka hatareee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚