Kuna mtu kanikeraย et nmemkubalia urafiki Leo tuย Facebook anataka kujua kabila langu
Bac akajifanya mjanjaa etย akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje
Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagaย wenyewe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi