Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambie nampenda sanaaaa
Nilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati, nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.

Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa