Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema