Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maishahayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitajikuishi nikumbuke mimi.