Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wanguhupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hanasifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wakumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.