Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi