Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kilandoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakiamafanikio mema kwasababu nakujali.