Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.
1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.
2. Ukimpata geniusâŚyuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno
3. Ukimpata tajiriâŚhawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutajiâŚhana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha
5. Ukimpata mnyenyekevuâŚmfukoni huwa 0%.
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhatiâŚanakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.
7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.
8. Ukimpata yule smartâŚni muongo to the maximum⌠na player
So listen to your heartâŚâ¤â¤, na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.
Kwa nini kulilia watu perfect??