SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?

 

Onesha JibuJIBU: Inawezekana kama wote mmegeuziana Migongo