Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap?

Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo…