Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yanguusikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.