Kuna njia Tatu kuu za Kuiishi Huruma ya Mungu ambazo ni kama ifuatavyo;

Matendo

Hii ni kwa kutenda matendo ya Huruma kwa wengine

Maneno

Hii ni kwa kunena maneno ya Huruma kwa wengine

Sala

Kusali kwa kuwaombea wengine Huruma ya Mungu