Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza,
Mungu naye anakifanya chema. Kwa maana anapenda kile tunachokipenda kama tuu hakina mawaa.

Mfano. Mungu anakubali mtu unayetaka kufunga nae ndoa kama unampenda na unaona ni sawa