Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Mambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa

Featured Image
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha.
100 💬 ⬇️

Umakini katika kuwaza

Featured Image
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo ya mtu ndiyo mtu mwenyewe Tuwaze mema wapenzi ili tuwe wema
100 💬 ⬇️

Makusudi ya Mungu kwa Kila Binadamu

Featured Image
Mungu anamakusudi na kila binadamu anayeishi duniani. Hakuna mtu aliyebora zaidi mbele ya Mungu au asiye wa thamani mbele ya Mungu kama anafwata mpenzi ya Mungu.
100 💬 ⬇️

Thamani ya Neno "Nimekusamehe"

Featured Image
100 💬 ⬇️

Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali

Featured Image
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho.
100 💬 ⬇️

Siri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu

Featured Image
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
100 💬 ⬇️

Tofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo

Featured Image
Wakati wa Kukomunika kila mtu anampokea Yesu kwa namna alivyojiweka tayari. Vile ulivyojiandaa ndivyo na Yesu anakuja kwako.
101 💬 ⬇️

Kumtafuta Mungu ni Jukumu lako Binafsi

Featured Image
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee.
100 💬 ⬇️

Siri ya Kuwa na Amani ya Moyoni au Rohoni

Featured Image
Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho na kidunia kama inavyotakiwa na kwa uwezo wako wote, Huku ukiwa na Matumaini ya kua kile unachokifanya kitafanikiwa, ni sahihi na umekifanya vizuri.
100 💬 ⬇️

Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu

Featured Image
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu. Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja.
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About