Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani
Updated at: 2024-05-25 18:01:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele
Updated at: 2024-05-25 17:02:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
JE WAJUA?
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300. FUNZO: Mazoezi ni kiinimacho na uongo mtupu. Jipumzikie mwaya!!! ππΎππΏβ
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Updated at: 2024-05-25 18:04:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Kilichotokea baada ya babu mzee kuibiwa nauli kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 16:54:48 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mzee mmoja alipanda Gari Stend; Wakati wa kugombania Siti, Akaibiwa Nauli.
Akasimama katikati ya Gari-Akasema; "Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka, Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977" Abiria kuskia hivyo wakaogopa. Ikabidi Mwizi Ajitokeze, Akarudisha Pesa na Kuomba Msamaha! Mtu Mmoja akauliza, Mzee, Kwani 1977 Ulifanya nn? Si nilienda kwa Miguu mpaka Nyumbani! Uscheke Peke Yako, wa2mie na wengine ili nao wacheke!
Updated at: 2024-05-25 17:08:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ
Updated at: 2024-05-25 17:59:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la β¦."