Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 18:11:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
CHEKA KIDOGO
MVUVI MASKINI NA MKEWE MALAYA. Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake huku akiwa hajui kama mkewe malaya, Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuondka mkewe akaanza kuingiza wanaume kama kawaida Hawara 1;nakupenda Mke Wa Mvuvi;oke, Nipe Penz Haraka Kabla Mume wngu hajarudi. Hawara 1;oke! Basi picha likaanza wakati wanaendelea mara mlango ukagongwa, akamwambia hawara mume wangu huyo jifiche darini jamaa akafanya,, mke wa mvuvi akaelekea mlangon kumbe alikua hawara 2. mke wa mvuvi; aaahaa kumbe ni wewe nilijua mume wangu bas njo haraka kabla mume wangu hajarudi.. picha likaendelea huku wa darini akiona vyote, mlangon kukagongwa mke wa mvuvi; mume wangu hyo jifiche uvungun jamaa akafanya kisha mke akajikoki kumpokea mumewe, mke wa mvvi; oooh! mume wngu pole umechoka eeh leo umepata samaki mkubwa nashukuru sana tulikua hatuna mboga mvuvi;usinishukuru mimi mshukuru aliye juu. hawara 1; sipo mwenyewe mwingine yupo uvunguniβ¦Β
Updated at: 2024-05-25 18:00:42 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!
Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzakoβ¦..Shenz mkubwa mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!
Updated at: 2024-05-25 17:53:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao: 1. Mrembo wa darasa. 2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili. 3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja. 4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera. 5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi.
6. Mlafi. Huyu huwa hakatai offer. 7. Mtoro wa kudumu. Haji darasani hata km hana sababu. 8. Mchelewaji wa kudumu. Anakuja kipindi kiko katikati au kinakaribia kuisha. 9. Miss/Mr.Misifa. kila mara ataeleza the way nyumbani kwao walivyo matajiri. 10. Less talkative bt kiwembe. Jamaa mkimya bt unakuta ametembea na karibu wasichana 15 hapo class. 11. Handsome boy ambaye hana mpango na wanawake. 12.Chips addicted. Hawa wanaweza kula chips asubuhi mchana na jioni. Jumatatu hadi jumatatu. 13. Back benchers. Hawa huwa watundu sana na ni watu wa jokes. Huwa hawajibu swali, but wanasubiri wakati wa kushangilia waongeze bezi. 14. Wambea. Hawapitwi na kitu darasani na washazoea kufeli. 15. Mchungaji/Mtumishi wa Mungu, 16. Waimbaji/Wasanii, 17.Walevi 18.Mabishoo. 19. Team popo. Hawa wewe na hela wasiwe na hela wanakesha club, 20.Mwenye aibu kusimama mbele za watu. Wakati wa Presentation anakimbilia kusimama nyuma ya wenzie, 21. Viherehere. Hawa mara nyingi hutokea kupendwa sana na waalimu. 22. Wanaosoma ili kushindana kwny GPA. 23. Kupe. Huyu boom likitoka atawaganda wenzie hadi ziishe, halafu yeye anaanza kula zake alone. 24. Wise man/woman. Huyu huwa ni mtu anayeaminika na kila mtu darasani. Hutumika sn kushauri pale mambo yanapoenda mrama. Mara nyingi huwa ni mtu mzima. 25.mpenda supu" yeye hata ya nyani atakunywa tu. 26.Fix man. Huyu atakuomba jero, akafuatilie dili la milioni kumi town, kumbe hana hela ya chai. 27. Photocopy machine. Huyu ukimuonesha majibu kwny mtihani anaweza kucopy hadi jina lako. π₯Usposema wewe uko namba ngapi mwngine atakusemaπππ π π π π
Updated at: 2024-05-25 17:06:14 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga spendi kudadeky nimetoa buku kumi nikanunua mipampers nami nijifanye nimeowa nina mtoto halafu huyoo nikashika njia yangu.
Sasa washkaji zangu tafadhalini mwenye mtoto au shida ya pampers naomba anunue kwangu maana leo nalala tena kiza πββ
Updated at: 2024-05-25 17:48:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MDADA: Baby nikwambie kitu MKAKA: Yeah Baby Uko huru nambie MDADA: nilikua naomba hela babyβΊ MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn π MDADA: hapanaπ Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur . ππππππππ Wanawake kumbukeni sio vizuri
Updated at: 2024-05-25 17:09:46 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesema hataki tena kujiunga fb!
ππππππππππππππ Saa ivi niko zangu nimelala naendelea kupunguza uchovu