Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
eBooks: Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano - Topic 33 - AckySHINE
Ushauri kwa vijana wenye miaka 22 nakuendelea
๐ โ
Available in PDF
Updated at: 2024-05-24 15:27:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ikiwa wewe ni kijana na Una umri wa kuanzia miaka 22 na Kuendelea Soma hapa ujifunze maisha ya hekima na namna bora ya kuishi na kufanikiwa ungali kijana
1. Kama uko shule au chuo soma na usicheze ukifeli unajipotezea muda. Soma sana utafanikiwaโฆ
2. Jifunze kuweka akiba ya pesa. Pia jifunze kuwa na matumizi mazuri ya pesa,bajeti vizuri na jiwekee akiba bank au popte unapoona panafaa.
Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kiimani na mafundisho ya kidini na mpenzi wako
๐ โ
Available in PDF
Updated at: 2024-05-24 10:27:21 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi wako na wewe mnaweza kufurahia uhusiano wenu hata ikiwa mnatofautiana kwenye masuala ya dini. Hapa ni jinsi ya kuelewa na kushughulikia tofauti hizo kwa amani na furaha!