Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
eBooks: Stadi za Maisha: Mbinu za Maisha ya Kipekee - AckySHINE
Angalia kilichomkuta huyu dada mwenye zarau, mwanae alikufa kwa zarau zake
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 16:00:53 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea hospitali ili kumuona mwanae.
Akiwa njiani katika mistari ya Zebra huku akiwa na mawazo alitaka kumgonga Kaka mmoja ambaye alikuwa akivuka barabara kwa kukimbia. Katika kumkwepa gari iligonga ukingo wa barabara na kukwaruizika kidogo.
Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli β
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 16:00:52 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana"
UFUUTIO: kwa nini? Mbona hujanikosea lolote?
PENSELI: Nisamehe sana unaumia kwa ajili yangu, kila ninapofanya makosa siku zote upo kwa ajili ya kuyafuta, ila kila unapofuta makosa yangu unaumia na kupoteza sehemu yako na umaendelea kupungua kadiri unavyofuta makosa yanguβ¦β¦. nisamehe sana ndugu!
Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 16:00:53 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.
2. Kila ukitazama unaona watu wengine wanaishi vizuri sana, tena maisha unayoyatamani na wanayafurahia. Wewe unahisi kama unasukuma siku tu.