Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
eBooks: Hadithi za Kiswahili: Historia, Mapenzi na Maisha - AckySHINE
Kisa kilichombadilisha mume tabia
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 14:50:16 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi
Updated at: 2024-05-23 14:50:15 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea.
Updated at: 2024-05-23 14:50:18 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya.
Updated at: 2024-05-23 14:50:15 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre.
Updated at: 2024-05-23 14:50:16 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Habari ya mama aliyeuguliwa ghafla na mtoto wake majira ya SAA 2 usiku, mtoto alibanwa na kifua(asthma), hali ilikuwa mbaya na mama akaenda kuomba msaada kwa jirani yake aliyekuwa na gari
Updated at: 2024-05-23 14:50:17 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.
Updated at: 2024-05-23 14:50:19 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dada mmoja aliyejulikana kwa jina
la Angel, alikuwa anafanya
biashara ya kujiuza ili aweze
kuweka kitu tumboni mwake.
dada huyo alikuwa na wateja
wamaana na mapedeshee wengi
Updated at: 2024-05-23 14:50:18 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mimi ni mwanamke mjane ninaishi mjini Arusha. Huu ni ushuhuda wangu wa maisha yangu.
Miaka 21 iliyopita nilifunga ndoa na mume wangu mpendwa kanisani, baadaye tukajaliwa kuwa na watoto wa2 mmoja wa kiume Alfred na mwingine wa kike Minza.