Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya…sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage!

MC : "Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni Shilingi laki 1..jamani Papai,nipeni ofa!"

MOSHA : "Laki 3 hapaaa!"

"Jamani laki 3 pale kwa Mosha, Papai linaondoka jamani, papai hili ni self contained kabisa….papai jamani"

KIBOLIBO: "Milioni 1 hapaaa"

"Jamani Mambo yanazidi kunoga hapa!…Benedict Kibolibo anataka papai kwa milioni 1 jamani, linaondoka papai!"

RWEYEMAMU : "nitanunua Papai hilo kwa Milioni 5"

Haya sasa jamani Rweyemamu ametoa ofa ya Milioni 5 Jamani, nani mweingineee?"

Kimyaaa…

Haya jamani Papai kama hakuna Ofa basi Papai linakwenda kwa Rweyemamu!……..haya sasa Kuna Kuku hapa Jogoo kabisa, bei yake ni laki 6 jamani Jogoo twitter huyu!"

WEWE "Milioni Mojaaa!"( hapa umejiwahi wa kwanza na wewe uonekane upo huku ukijua kabisa Wakina Mosha na Rweyemamu lazima watampandia Dau Jogoo, tena dau kubwa"

MC: ee sasa Kumekucha Jamani, Kabasele anamtaka Jogoo kwa Milioni 1 jamani!….ofa nyingineeee!"

Kimyaaa…

Jamani Jogoo anakwenda kwa Kabasele jamani!…ofa nyinginee!

Kimyaaa….

Kimyaaa….

😝😝😝…hapa sasa ndio mfukoni kuna Buku jero,..huko kwengineko NMB nill balance…sasa unageuza mimacho kumtazama Mosha kama atapanda dau kwa jogoo👀(mama wee Mosha anachezea Simu!)…..unamtazama Rweyemamu (teh anatafuna Kuku)…..mama weee😝

MC: Haya jamani kama hakuna Mwingine basi zoezi letu liishie hapa na limekwenda kwa Mafanikio, Mpatieni Kabasele Jogoo wake!

Hapa sasa unapokea jogoo wako wa MILIONI kwa Tabasamu la Maiti….kule nyumbani Jogoo wako Mkubwa unauza elfu 20 lakini sasa haka kajogoo kapya Mkononi kanakuwa kazito utadhani umembeba John Cena👀…Mama weee hapa sasa vidari ulivyotafuna unaviona kama vimerudi kwenye Ulimi….Chicken wings zinataka kutokea Masikioni…..Uuuuwiiiii,😝😝😝

Na hapa sasa kabla Dinner haijaisha ndipo unapojikuta Umebuni Cocktail ya Sparetta na Tomato😂😝😝😝😂.
chiel wie okee

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 237

Please log in or register to comment or reply.
👥 Mchawi Guest Jul 22, 2024
Sikutarajia hiyo punchline—kichekesho! 🤣
👥 Zuhura Guest Jul 19, 2024
😆 Nacheka hadi chini!
👥 Grace Minja Guest Jul 9, 2024
😅 Nilihitaji kicheko hiki, asante!
👥 James Kimani Guest Jun 18, 2024
Haha, hii ni ya kuhifadhi! 📌
👥 Lydia Mzindakaya Guest May 15, 2024
😆 Ninaihifadhi kwa baadaye!
👥 Joyce Mussa Guest May 12, 2024
😂 Kali sana!
👥 Chum Guest May 3, 2024
Nimependa hii! Endelea kuzileta! 😁
👥 Husna Guest Apr 18, 2024
😆 Hiyo punchline ilikuwa kali!
👥 Anna Malela Guest Apr 11, 2024
Hii ni dhahabu ya vichekesho! 😄
👥 Guest Guest Jan 14, 2026
side kama side
👥 Mary Mrope Guest Mar 28, 2024
Hii imenipa furaha ya siku! 😆😂
👥 Peter Mwambui Guest Feb 21, 2024
😆👏😂😄
👥 Susan Wangari Guest Feb 13, 2024
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! 🤣😅
👥 Muslima Guest Jan 27, 2024
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! ⏰
👥 Alice Mwikali Guest Jan 3, 2024
Hii ni joke ya ukweli kabisa! 😂🤣
👥 Lucy Mahiga Guest Dec 4, 2023
😂👏😅🤣
👥 Moses Kipkemboi Guest Nov 27, 2023
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! 🤣😂
👥 Alex Nyamweya Guest Nov 9, 2023
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! 😄😅
👥 John Mushi Guest Oct 27, 2023
Umesema kweli! 👌😂
👥 Chris Okello Guest Oct 26, 2023
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! 👏🤣
👥 Nancy Komba Guest Oct 7, 2023
😄😅👏😂
👥 Victor Kamau Guest Oct 3, 2023
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! 😃
👥 Sofia Guest Sep 29, 2023
😅 Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
👥 George Wanjala Guest Sep 10, 2023
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! 😂👏
👥 Ann Awino Guest Aug 15, 2023
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😆😄
👥 David Nyerere Guest Jul 30, 2023
Hii imenipa kicheko cha siku! 😂🤣
👥 Chum Guest May 19, 2023
😆 Naihifadhi hii!
👥 Mariam Kawawa Guest May 7, 2023
Hii imenikuna hadi nina furaha! 😊😂
👥 Samuel Were Guest Apr 15, 2023
Nimecheka kwa sauti! 🤣🤣
👥 Sarah Karani Guest Mar 31, 2023
Hii ni joke ya kipekee! 🤣👌
👥 Betty Kimaro Guest Feb 19, 2023
😆 Naihifadhi hii!
👥 Chris Okello Guest Feb 10, 2023
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! 😊😂
👥 Mary Mrope Guest Jan 26, 2023
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🤣
👥 Benjamin Masanja Guest Jan 24, 2023
Napenda jokes zenu! 😊😅
👥 Robert Okello Guest Jan 18, 2023
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! 🎉
👥 Warda Guest Nov 20, 2022
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! 😄
👥 Kenneth Murithi Guest Nov 9, 2022
Hii imenipa furaha ya siku! 😆👌
👥 Tabu Guest Aug 29, 2022
😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!
👥 Ruth Wanjiku Guest Aug 27, 2022
😊😂😅👏
👥 John Lissu Guest Aug 25, 2022
😂 Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
👥 Joseph Kawawa Guest Aug 1, 2022
Hii imenifurahisha sana! 🤣😊
👥 Esther Nyambura Guest Jul 30, 2022
Mna talent ya jokes! 👏😂
👥 Maulid Guest Jul 25, 2022
😂 Ninashiriki mara moja!
👥 Nancy Kawawa Guest Jul 10, 2022
Hii imenikuna! 😆😊
👥 Mary Njeri Guest May 16, 2022
Kweli mna kipaji cha ucheshi! 👏🤣
👥 Dorothy Nkya Guest May 11, 2022
😂🤣😆
👥 Josephine Guest Apr 29, 2022
Hii kichekesho imenifurahisha sana—imebamba! 🤣
👥 Ruth Mtangi Guest Apr 18, 2022
😅 Bado ninacheka!
👥 Dorothy Nkya Guest Apr 14, 2022
Kweli mna ucheshi wa kipekee! 😂🤣
👥 Hekima Guest Mar 28, 2022
😆 Bado nacheka, siwezi kuacha!
👥 Anna Malela Guest Feb 26, 2022
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! 😂🤣
👥 Mwafirika Guest Feb 6, 2022
😄 Umeshinda mtandao leo!
👥 Charles Wafula Guest Jan 29, 2022
Nimecheka hadi mbavu zinauma 😂😂
👥 Diana Mallya Guest Jan 4, 2022
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! 😅😊
👥 James Kawawa Guest Jan 2, 2022
🤣👍👌
👥 Joyce Aoko Guest Dec 1, 2021
😅😂👌😊
👥 Samuel Were Guest Dec 1, 2021
😊🤣🔥
👥 Irene Akoth Guest Nov 24, 2021
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! 😜
👥 Mariam Guest Nov 20, 2021
😃 Hali imeboreshwa papo hapo!
👥 Thomas Mwakalindile Guest Oct 30, 2021
😆 Ninakufa hapa!

🔗 Related Posts

🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About