Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri
โข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
โโpiga chini kitambiโโ
Mahitaji
๐นTikiti๐ 1
๐นTangawizi kidogo
๐นLimao nusu ama apple cider vinegar
โNjiaโ
๐ฒSafisha matunda yako Kwa maji Safi,menya tikiti๐,katakata weka kwenye Brenda ,
๐ฅMenya tangawizi katakata Ila usiweke nyingi,weka kwa Brenda,
๐Kamulia limao kwenye matunda yako saga,baada ya hapo itakua tayar.Mimina kwenye grasi yako๐ธ,ukiweza kunywa kabla hujala kitu,asubuh na endelea kunywa siku nzima,juic hii ni nzuri,na huondoa sumu mwilin ,husaidia kupata choo,huyeyusha mafuta,hung'arisha ngoz
โจ Join AckySHINE for more features! โจ