Afya ya uzazi ni nini?
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji po...
Read More
Kufuatia vitendo vibaya vya mauaji ya Albino, vilivyozuka
Tanzania tangu mwaka 2007 hadi sas...
Read More
Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozi
nyeupe anakataa ya kwamba mtoto si ...
Read More
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufana...
Read More
Mapenzi ni muhimu katika uhusiano wowote wa kimapenzi. Ni muhimu kuchukua hatua za kudumisha mape...
Read More
Hakuna kitu kizuri kama kukutana na msichana unayempenda kwa tarehe ya kwanza. Lakini, unapotaman...
Read More
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kum...
Read More
Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na
kushindwa kujizuia na vishawishi vy...
Read More
Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwa
makusudi wa ukweli kuhusu jambo hi...
Read More
Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mpenzi wangu wa shule? π€
Habari vyote vijana! Leo tuta...
Read More
Kuwashirikisha wasichana katika malengo ya pamoja ni jambo muhimu sana katika jamii yetu. Wasicha...
Read More
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuing...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!