Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/katoliki/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Tofauti ya VVU na UKIMWI

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani โ€œHuman Immunodeficiency Virusโ€. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS ambacho kirefu chake ni โ€œAcquired Immune Deficiency Syndromeโ€. Neno UKIMWI tayari linaonyesha tayari aina ya ugonjwa, i ikii manisha kuwa mwili umepungua uwezo wake wa kinga kwa maradhi mbalimbali mwilini. Dalili za upungufu huu ukianza kujitokeza basi maradhi haya huitwa UKIMWI. Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kuwa mtu aliyeambukizwa VVU bado anaweza kuonekana mzima wa afya. Pamoja na kuwa virusi hivyo vitaonenekana katika damu yake, ni kwamba virusi hivyo vitakuwa havijaanza bado kushambulia chembechembe nyeupe za damu. Kwa upande mwingine kinga ya mwili ya mtu anayeumwa UKIMWI i itakuwa tayari i i imepungua. Mwili wake utaanza kuugua magonjwa nyemelezi. Magonjwa nyemelezi hupata nafasi ya kushambulia mwili huu ambao tayari kinga imepungua. Watu wnaoumwa UKIMWI wanaweza kupungua uzito wa mwili, kuharisha au kupata matatizo ya ngozi. Hata hivyo maradhi haya siyo lazima yatokane na kuwa na VVU. Ili kuwa na uhakika, onana na mtaalamu yaani dakatari wako.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri wa Kujihusisha na Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri wa Kujihusisha na Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri wa Kujihusisha na Ngono? ๐ŸŒˆ

Karibu kija... Read More

Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana

Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana

Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana

Katika uhusiano wowote, uaminif... Read More

Je, Ni Sahihi Kutumia Mbinu za Asili za Kuzuia Mimba?

Je, Ni Sahihi Kutumia Mbinu za Asili za Kuzuia Mimba?

Je, ni sahihi kutumia mbinu za asili za kuzuia mimba? Hii ni swali ambalo vijana wengi hujikuta w... Read More

Je, sigara ni sumu kwa binadamu?

Je, sigara ni sumu kwa binadamu?

Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango kikubwa cha nikotini katika damu utaj... Read More
Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?

Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?

Siku salama ni siku ambazo hakuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Iwapo mwanamke atajami... Read More

Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kipekee na Msichana Wako

Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kipekee na Msichana Wako

Jinsi ya Kuwa na Muda wa Kipekee na Msichana Wako

  1. Tafuta Muda wa Kipekee Kutafut... Read More

Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba

Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba

Uhusiano mzuri na wazazi ni muhimu sana siyo katika masuala ya uchaguzi wa mchumba tu, bali katika m... Read More
Njia za Kusuluhisha Migogoro katika Uhusiano wako na Msichana

Njia za Kusuluhisha Migogoro katika Uhusiano wako na Msichana

Wakati mwingine, migogoro katika uhusiano wako na msichana inaweza kuonekana kama jambo lisilowez... Read More

Je, Ni Vipi Kupata Msaada wa Kielimu Kuhusu Ngono?

Je, Ni Vipi Kupata Msaada wa Kielimu Kuhusu Ngono?

Je, umewahi kujiuliza ni vipi unaweza kupata msaada wa kielimu kuhusu masuala ya ngono? Leo, tuta... Read More

Kwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?

Kwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?

Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.
Wazazi, ndugu zenu, rafiki zen... Read More

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?

Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test... Read More

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Aibu Kuhusu Ngono?

Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Aibu Kuhusu Ngono?

Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Aibu Kuhusu Ngono ๐ŸŒŸ

Karibu vijana wenzangu! Leo, tutaj... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About