Ukimonyesha mtu fursa akakwambiaย hana helaย mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili awe na hela tukumbukeย kuwa hela haitokani na helaย hela inatokana na fursa
Nijukumu la mtu asiye na hela kutafuta njia ya kuwa na hela watu wengi tunachelewa kufanikiwa kwa kutojua majukumu yetu ili kupambana naย UMASIKINIย mwombe Mwenyeziย MUNGUย kwa imani yako akufungue akiliโฆ
To ur Success!