Binti:ย Hallow mpenzi, Mambo
Jamaa:ย Poa baby
Binti:Uko wapi?
Jamaa: Niko town napata lunch
Binti:ย Wow unarudi saa ngap? Nina njaa dear naomba uniletee msosi
Jamaa:ย Narudi baada ya nusu saa nikuletee nini?
Binti:ย Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne ya kukaangwa pembeni, baga, piza, coke take away baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya wapemba na maji ya kunywa ya kiimanjaro.
Jamaa:Umesahau viti, meza, masufuria, sahani na beseni na vijiko.
Binti:ย Kwanini dear?
Jamaa:ย Naona hutaki kula unataka kufungua hoteli!