SWALI:ย Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
Onesha Jibu
JIBU: Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.
IV = Nne
V = Tano
V ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)

Please log in or register to leave a comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!