Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:05:40 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mtu kanikeraΒ et nmemkubalia urafiki Leo tuΒ Facebook anataka kujua kabila langu Bac akajifanya mjanjaa etΒ akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagaΒ wenyewe πππππππ Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi
Kilichotokea baada ya babu mzee kuibiwa nauli kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 16:54:48 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mzee mmoja alipanda Gari Stend; Wakati wa kugombania Siti, Akaibiwa Nauli.
Akasimama katikati ya Gari-Akasema; "Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka, Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977" Abiria kuskia hivyo wakaogopa. Ikabidi Mwizi Ajitokeze, Akarudisha Pesa na Kuomba Msamaha! Mtu Mmoja akauliza, Mzee, Kwani 1977 Ulifanya nn? Si nilienda kwa Miguu mpaka Nyumbani! Uscheke Peke Yako, wa2mie na wengine ili nao wacheke!
Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?
Updated at: 2024-05-25 18:09:18 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga.
MWAL: Safi sana Rose. Utakua utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi.
MWAL: Na wewe James??
JAMES: mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiweβ¦β¦"
Akameza mate kisha akaendeleaβ¦.
"Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilionea ninayeogopwa. Lakini pia nataka kuwa na mke mzuuuri sana ambaye nitakuwa natembea nae kila mahali."
MWAL: ndoto nzuri sn lakini unahitaji bidii sana kutimiza. Haya na wewe Jenny tueleze unataka kuwa nani??
Updated at: 2024-05-25 17:16:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badae MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa MKE:Miguu kama masaa mawili MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi MKE: Ondoka hapa mjinga we. β¦β¦ Akafunga mlango MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo ng'oo SIPENDI UJINGA MM nikiwa na my love pr
Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani
Updated at: 2024-05-25 18:01:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele