Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:04:27 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema.. Order! Orderโฆ Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu โฆ Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza.. i think wananiandalia chapati ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo
Updated at: 2024-05-25 17:14:16 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
๐๐๐๐ .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUO Demu ;ย Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote. Jamaa ;ย Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia #Turubai Utawafunika Woteโฆ!!! Demu:ย Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakublock Mpaka Sanduku la postaโฆ!!!
Updated at: 2024-05-25 17:15:01 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA :ย Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU :ย Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA :ย Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU:ย Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA :ย Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake ๐๐๐๐๐๐๐
Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Updated at: 2024-05-25 17:11:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "mamaa" mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu "mama nimeota ndoto mbaya sana" ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu "nimeota tumefungua shule"
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
Updated at: 2024-05-25 18:05:22 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana."
Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"
Zuzu akatabasamu. Akaendelea kuongea kabla sijafanikiwa kumzuia. "Kweli kabisa anko. Vitu vinavyoanza na K ni vitamu sana kwa mfano kuku, kalimati, keki, kabab, katleti, kashata, kisheti na karoti."
Nikashusha pumzi. "Ahaa! Kumbe ndo hivyo, ni kweli!"
Zuzu akanitupia swali. "Kwani we anko ulidhani nini?"