Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Mme amemfuma fundi wa kitanda na mke wake, cheki walichokua wanafanya

Featured Image

Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18

237 💬 ⬇️

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote

Featured Image
236 💬 ⬇️

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga

Featured Image
236 💬 ⬇️

Madhara ya kwenda baa na mke ndo kama haya

Featured Image

Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa

 

237 💬 ⬇️

Huyu Jamaa kawaweza polisi kweli

Featured Image
237 💬 ⬇️

Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?

Featured Image
236 💬 ⬇️

MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU

Featured Image
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!! 2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie. 3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.
237 💬 ⬇️

Mimi ndio nimeelewa hivi!

Featured Image
236 💬 ⬇️

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Featured Image
Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo?
236 💬 ⬇️

Huyu mtoto kaongea point kweli, angalia anachomwambia baba yake

Featured Image

Mtoto alimwuuliza baba yake,
Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha?
Baba: siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana.
Mtoto: je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini?
Baba: haiwezekani kamwe kuna vitu vya gharama na pia heshima haitakuwepo.

236 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About