Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Updated at: 2023-04-29 22:53:26 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Mume akamwambia mke wake:
"Funga macho yako tufanye maombi"
Akaanza kwa Kimombo:-
"β¦ Lord I pray for Grace, I pray for Mercy, I pray 4 Joy, I pray 4 Love, I pray 4 Hope, I pray 4 GLORY, I pray 4 Faith, I pray 4β¦."
Huyu mtoto kaongea point kweli, angalia anachomwambia baba yake
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 18:07:37 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtoto alimwuuliza baba yake, Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha? Baba: siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana. Mtoto: je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini? Baba: haiwezekani kamwe kuna vitu vya gharama na pia heshima haitakuwepo.
Updated at: 2023-04-29 22:53:32 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Angalia hawa wadada walivyoumbuliwa, Huyu kasuku jeuri kweli
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 18:01:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kasuku alisimama mlango wa kuingia supermarket wakapita wanawake watatu akasema nyeupe, nyekundu, kijani. Wale wanawake wakatatizika baada ya mda wakajua ni chupi walizovaa. Wakasema basi kesho tubadilisheni. Siku ya pili wakapita tena kasuku akasema nyeusi, manjano, zambarau.
Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 18:04:44 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!