Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
1) gari la kuvutwa halina overtake 2) kisigino hakikakai mbele 3) wimbo wa taifa haupgwi disko 4) feni haiwashwi beach 5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges 6) mganga haagiz tembele 7) hata bibi alikuwa bint 8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa 9) kipara bila pesa ni kovu 10) mbwa hanenepi migiuu 11) picha ya rais haina bodyguard 12) mjini shule kijiji tuition 13) saa ya ukutani haivaliwi mkonon 14) heshima pesa shkamoo makelele 15) ulinz pesa bastora mzgo 16) kuku ni kuku jogoo mbwembwe 17) kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
abu misemo
mama wakambo simama mana akikaa ndo utasema mama wakambo siurale
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ABU sido misemo
usiombe siku mpenziwako agombane nampenziwake
π₯Guest
Guest
Oct 14, 2025
"mala paaa tunaenda "mbinguni alafu tunaambiwa " sadaka
"ulizokua unatoa
"duniani ndo
matumizi yako uku
mbinguni mh
haki yamungu kunawengine tutakua omba omba jamani tutoweni sadaka
abu apa 0681305278
π₯Guest
Guest
Oct 7, 2025
"TANGAZO TANGAZO masika imefika "kwawalewote wanaotaka kupanda ndege lengi loizi loizi " "mabasi pg 0683015278 mbegu zake ninazo NIABU APA MTOTO WAMIKIDADI SAIDI BY
π₯Guest
Guest
Oct 17, 2025
OK
π₯Guest
Guest
Oct 7, 2025
kila lenyemwanzo halikosi mwisho hata mwisho nao unamwishowake
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
kila lenyemwanzo halikosi mwisho hata mwisho pia unamwishowake hata boss pia anaboss wake hatami abu mikidadi naishi2 ila namwishowangu
π₯Guest
Guest
Aug 9, 2025
MISEMO
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
"kutoa mimba alafu unalala namdori
"kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
"kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
"kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
"kutoa mimba alafu unalala namdori
"kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
"kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
"kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ety jamani% kipi niujinga kati yahivi
%kumkimbia simba polini wakati ulikua unaenda kujinyonga
"kutoa mimba alafu unalala namdori
"kumpenda mtu alafu unaogopa kumambia
"kufuta namba yampenzi wako kwahasira wakati unayo kichwani
"kwenda dukani kununua sum unywe ujiuwe alafu unasubili chenchi
nipeni jibu 0681305278 ABU APA MAHEMBE NDOKWETU KGM TZ
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
acha kazi uwone kazi inavokua kazi kupata kazi
ABU AP 0681305278
π₯Guest
Guest
Oct 7, 2025
ukiona maisha nimagum pambana nahaliyako wekausha2 hatagali lazima moto kunamda huwa linaungua (ABU)(mikidadi)apa
π₯Guest
Guest
Oct 7, 2025
ukiona maisha nimagum pambana nahaliyako wekausha2 hatagali lazima moto kunamda huwa linaungua
π₯Guest
Guest
Aug 20, 2025
Dah: mnachekesha kweli ety
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ABU MAHEMBE KGM TZ SIDO SAMIRU SIDO KGM TZ MISEMO ITAKAYO KUACHA HOI NAKICHEKO
.
"%mtoto kaambiwa %nababayake hongera mwanangu umemariza chuo kikuu chagua zawadi yoyote uwipendayo dg akajibu "naomba hela nikamuowe bibi mana kila siku ananita mmewake " baba akajibu mshenzi mkubwa wewe %huwezi kumuowa yule nimamayangu mzazi %dg akajibu mbona wewe umemuowa mamayangu mzazi sijasema kitu kumbe inaumaee kama nivo nenda kwamayako namimi nibaki namamayangu kilamtu abaki namayake ungekuwa niwewe ungemjibu nini huyu dg hahahahahahahahaha
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
ya ni abu apa kutoka sido nilikua naomb mniunge namimi niwe natupia misemo watu walike
π₯Guest
Guest
Nov 9, 2025
ABU MAHEMBE KGM TZ
HIi NIKWA MABEST Frend wote
HΒ£LO BΒ£ST Frend
WAMBIΒ£ SISI NIMABEST FRENDI
WATASEMA SANA SISI BADOTUPO TΒ£NA TUPOSANA HAWAJUI KAMA MANENO YAO NDO TAMBIKORA YANAZIDI KUKORΒ£ZA URAFIKIWE TENA WAKAZANE
π₯Guest
Guest
Aug 15, 2025
Balaaaa
π₯Wande
Guest
Jul 21, 2024
π Hiyo punchline ilikuwa kali!
π₯Guest
Guest
Oct 11, 2025
"ofa ofa
"kwanzia kesho "nakuendea selekar
"imeluhusu wavuta bangi wote mvutie bangi hazala vituo vya polic kambi zajexhi maeneo yaikulu kote ukwo bangi inukie kama pilau
hahahahaha kitakacho wakuta zawad milini 5
abu
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
"sikumoja PADR na sister "waliwa "wakifanya "mapenzi chini yamti "kumbe juu " yaule mtii palikua "na mvuta bangi "walipomaliza "sister akauliza ulitumia kinga "PADR hapana " sistel sasa itakuaje nikipata mimba "PADRI akajibu "yote tumuachie aliejuu "yule mvuta bang akajua niyeye akajibu kwasaut pumbavu yani mapenzi mfanye nyie mimba mniachie mimi PADRI na sister inamana yote tuliyofanya apa umena aaaaaaaaa? hahahahaha STOR imetoka kwangu abu wamiki apa by
π₯Guest
Guest
Sep 22, 2025
Hahahaha mnanikumbuxha enzi zang
π₯Guest
Guest
Aug 20, 2025
Zote kali
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
"unasema beby wako "anakupenda sasa fanya "ivi chukua gunia la hela "nawewe mkae apo "alafu umwambie beby "chagu kitu ukipendacho "kati yaiili gunia lahela namimi alafu "tuone ABU APA niulize mimi nambayangu iyapa0681305278
π₯John Mwangi
Guest
Jul 7, 2024
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
niungen
π₯Fredrick Mutiso
Guest
Jul 5, 2024
π€£ Sikutarajia hiyo!
π₯David Sokoine
Guest
Jun 14, 2024
π Ninaihifadhi kwa baadaye!
π₯Mary Njeri
Guest
Jun 7, 2024
Hii imenichekesha sana! π€£π
π₯Mary Sokoine
Guest
Apr 27, 2024
Ucheshi wenu unanifurahisha! ππ
π₯Peter Mugendi
Guest
Apr 17, 2024
Hii ndio nilihitaji leo! Asante! π
π₯Janet Sumari
Guest
Apr 10, 2024
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
π₯Francis Njeru
Guest
Mar 24, 2024
Ucheshi wa hali ya juu! ππ
π₯John Lissu
Guest
Mar 13, 2024
Hizi jokes ni za kipekee sana! ππ
π₯Jackson Makori
Guest
Mar 11, 2024
π Nimeipenda kabisa hii!
π₯Sarah Karani
Guest
Feb 28, 2024
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
π₯Chris Okello
Guest
Feb 20, 2024
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβimebamba! π€£
π₯Ruth Mtangi
Guest
Feb 8, 2024
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
π₯Richard Mulwa
Guest
Feb 7, 2024
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ππ€£
π₯Guest
Guest
Oct 3, 2025
Nilikuwa nahalisha ila kwa hii nahisi nimepona
π₯Esther Nyambura
Guest
Jan 25, 2024
π€£ππ
π₯Peter Mbise
Guest
Nov 11, 2023
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
π₯Josephine Nekesa
Guest
Nov 11, 2023
Hii joke ni ya kufurahisha! π€£π€£
π₯Andrew Odhiambo
Guest
Nov 5, 2023
πππ π€£
π₯Bernard Oduor
Guest
Oct 29, 2023
π Bado nacheka!
π₯Martin Otieno
Guest
Oct 20, 2023
Kweli mnajua kuchekesha watu! π€£π
π₯Isaac Kiptoo
Guest
Oct 12, 2023
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ
π₯Janet Sumaye
Guest
Oct 12, 2023
Hii imenifurahisha kweli! ππ
π₯Ahmed
Guest
Oct 5, 2023
π Hii ni ya kuhifadhi!
π₯Guest
Guest
Oct 8, 2025
woyooooo!Β‘!Β‘ hello "kile *.kidada.*kinachosemaga"*.saliolako.*halitoshi*.* "*kupg.*sm.*hiii.*sikimefukuzwa kazi
"*et kisa namama.*samia .*alipg .*kikamwambia salio lake "halitoshi kupg cm "kwahiosasa iv kupg nibuleeee!Β‘kabisa kamahauwamini
nipgie0681305878 ABU APA BY SIDO BILA KUMSAHAU SAMIRU SIDO NAYASIN