Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…" Mtangazaji akasema:- Akhasante sana John, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama ana kusikiliza akutafute kwa No. Gani!? John: Hapana, mi nilikuwa namshukuru tu maana amenitoa kwenye matatizo na ninapenda kumuombea Dedication wimbo wa Snura "MAJANGA" umfikie popote pale alipo…!!!
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Peter Tibaijuka Guest Jul 18, 2024
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ Faith Kariuki Guest Jun 18, 2024
Nimecheka hadi nina furaha sana! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Lydia Mahiga Guest Apr 21, 2024
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! πŸŽ‰
πŸ‘₯ Issa Guest Apr 12, 2024
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Ruth Kibona Guest Mar 25, 2024
😊🀣πŸ”₯
πŸ‘₯ Juma Guest Mar 22, 2024
πŸ˜† Naihifadhi hii!
πŸ‘₯ Jane Muthoni Guest Mar 15, 2024
Hii imenifurahisha kweli! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Elizabeth Malima Guest Feb 27, 2024
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ˜…
πŸ‘₯ Mariam Guest Feb 26, 2024
πŸ˜‚ Hii ni kali sana!
πŸ‘₯ Joy Wacera Guest Feb 19, 2024
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Nancy Kabura Guest Feb 8, 2024
Huyu alikuwa na point! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Joyce Aoko Guest Feb 7, 2024
Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Hellen Nduta Guest Jan 24, 2024
Nimefurahia sana hii joke! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Mtumwa Guest Jan 12, 2024
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜„
πŸ‘₯ Robert Okello Guest Dec 11, 2023
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Rose Kiwanga Guest Nov 28, 2023
πŸ˜† Bado nacheka!
πŸ‘₯ Joseph Kitine Guest Nov 26, 2023
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Josephine Nduta Guest Nov 4, 2023
Huyu mtu ni mcheshi sana! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Sarafina Guest Oct 5, 2023
🀣 Hiyo twist mwishoni, ingawa!
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Oct 4, 2023
πŸ˜† Nacheka hadi chini sasa hivi!
πŸ‘₯ Khamis Guest Aug 18, 2023
🀣 Hii imewaka moto!
πŸ‘₯ Victor Malima Guest Aug 12, 2023
πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜…πŸ‘
πŸ‘₯ Maimuna Guest Jul 21, 2023
πŸ˜‚ Nalia kwa kweli hapa!
πŸ‘₯ Anna Mahiga Guest Jun 29, 2023
πŸ˜„ Dhahabu ya vichekesho!
πŸ‘₯ Anna Mchome Guest Jun 28, 2023
Umeimaliza kabisa, kichekesho gani! πŸ˜„
πŸ‘₯ Francis Mtangi Guest Jun 12, 2023
πŸ˜†πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Betty Akinyi Guest Jun 11, 2023
Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Samuel Omondi Guest Jun 10, 2023
Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣
πŸ‘₯ Robert Ndunguru Guest Jun 10, 2023
Hii kichekesho ilikuwa bora! Nimeipenda! 🎯
πŸ‘₯ Ruth Mtangi Guest May 8, 2023
Nimefurahia hii sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Lydia Wanyama Guest Mar 28, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ David Chacha Guest Mar 10, 2023
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Irene Akoth Guest Mar 3, 2023
Hizi jokes ni za kipekee sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Patrick Mutua Guest Feb 15, 2023
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Grace Minja Guest Jan 15, 2023
Hii ni joke ya kipekee sana! πŸ˜ŠπŸ‘
πŸ‘₯ John Kamande Guest Dec 30, 2022
Hii ni ya kufurahisha! πŸ˜„πŸ˜…
πŸ‘₯ David Chacha Guest Nov 30, 2022
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Dorothy Majaliwa Guest Nov 7, 2022
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hiki, asante!
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest Oct 23, 2022
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ Jabir Guest Oct 18, 2022
🀣 Ujuzi wa hali ya juu!
πŸ‘₯ James Mduma Guest Oct 10, 2022
πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Abdullah Guest Oct 9, 2022
πŸ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
πŸ‘₯ Dorothy Mwakalindile Guest Oct 1, 2022
πŸ˜‚πŸ˜†
πŸ‘₯ Mercy Atieno Guest Sep 2, 2022
Nimecheka hadi machozi 🀣😭
πŸ‘₯ Amina Guest Aug 10, 2022
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ David Sokoine Guest Aug 2, 2022
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Jul 14, 2022
πŸ˜„ Umeshinda mtandao leo!
πŸ‘₯ Isaac Kiptoo Guest Jun 30, 2022
Hii kichekesho itaingia moja kwa moja kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Alex Nyamweya Guest Jun 23, 2022
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Diana Mallya Guest Jun 14, 2022
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Rahim Guest May 17, 2022
πŸ˜… Nilihitaji hii!
πŸ‘₯ Samuel Were Guest May 8, 2022
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ George Mallya Guest Apr 29, 2022
Hii imenifurahisha sana! πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Amir Guest Mar 26, 2022
πŸ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
πŸ‘₯ Elizabeth Mrope Guest Mar 11, 2022
πŸ˜„ Kichekesho kamili!
πŸ‘₯ Betty Cheruiyot Guest Jan 22, 2022
Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ James Malima Guest Dec 15, 2021
Hii imenibamba sana! πŸ˜…πŸ€£
πŸ‘₯ Carol Nyakio Guest Dec 15, 2021
Hii imenichekesha sana! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joseph Kiwanga Guest Dec 4, 2021
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ James Kawawa Guest Nov 14, 2021
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About