Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 246

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ James Mduma Guest Jul 15, 2024
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 22, 2025
1.mbuzi wa maskini hazai
2.abiria poteza nauli ujue njia zamkato
3.ukubwa so madaraka hata mlango nimkubwa ira mwenye madalaka kufuri
4.hata babu alikuwa kijana
5.mtaji wamaskini nguvuzake mwenyewe
6.kura iri usife utashibaga mbele
7.maskini habagui chakula
8.jogoo washamba hawiki mjini
9.kuku mgeni hakosi kamba mguni
10.usishangae mimi kuwa maskini wanoti kashangae makaburini watu wanapandwa rakini hawaoti
11.alie sema sasampa maskini tunakosa madem uku kira dem toa sasampa
12.tambua kila lenyemwanzo linamwisho hatamwisho unamwishowake.....?
NIMIMI HAPA TAJIRI WAUPENDO
MASKINI WACHUKI BY ME ABU MAHEMBE
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 18, 2025
ABU MAHEMBE
%kweli ubishi@sio mzur
"nacheo sio tishio
"waziri mmoja arienda " "kwenye mradi wanyuki naasari kufika getini "mrinzi akamzuiya akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwasasa "wazir akafoka "nakusema kwani haujui mininani huku anamwonesha kitambulisho
"mlinzi kwakutii akamruhusu haya ingia mueshimiwa akaingia "baada yamda kidg wazir aliskika akiiita mlinzi mlinzi nyuki wamenivamia "mlinzi akamjibu waoneshe kitambulisho wakujue weninani hahahahahahaha
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 15, 2025
ABU MAHEMBE
abu boy-
mashairi muziki
nambayangu
ni 0681305278
|||
minajua tupowengi tunaosaka shiring ira tukumbuke siwapitanjia nayaona mengi kuyasema siwezi hayamaisha nayopitiaa
,hata ingekuwa story haya maishayangu nisingeweza kuaditia unaepitia meng kumbuka kunamungu usisahau kuweka niaa
tufanyeni yote mabaya mazur ira kwake tutalejeaa mwanamke zaa kwauchungu mwanaume haso ira tukumbuke hiii nidunia
unashinda kutwa hujamtaja mungu tunasahau letu kudio duniani ametuleta iri tumwabudu ira kwenyepesa tumekimbilia shetani niache nilud kwamungu mimii dhambi najiogopea aisee naokoka naokoka naokokaa|||naokoka naokoka naokokaa|||| naokoka naokoka naokokaa
....?
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 18, 2025
WOYOOOOOOOOOOO "wasomi mpo
"kunaswali apa atake "atakaeweza kujibu " "kunavocha ya 2000/=
%swali
"mke wakipofu "Anatembea nakiziwi
"naanae ijuwa siri hiyo "nibubu " "je? "bubu "atawezaje kuitoa siri hiyo kwakipofu "ingarikuwa hajui kusoma wara kuwandika "nahatoi sauti fowadiya "nawengine paka tupate "jibu apa
ABU MAHEMBE ME by 0678 1305 278
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 17, 2025
ABU MAHEMBE
ikiingia nitam kama asari ikikaa sana inapoteza radha...
%huwezi kupata "kama hauna pesa
kira mwenyepesa anatafunatu
.inaiimgia imesimama wima inatoka imeregea uku inanata nata haina radha tena nayo sinyingine ni jojo bgg
acha kuwaza ujinga ww
hahahahaha
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 17, 2025
kwaumpendae2
. +"" ' " "+.+" " ""+ .
+ MAISHA + + MEMA + + + + + + NI KUPENDANA KUSALIMIANA kukumbukana kusameheana
*
*furaha yangu iwe kivuli chako upendo wangu iwe ndovazirako
nakuombea kwa MUNGU kira atakae kubariki nae abarikiwe kira atakae kulaani nae araniwe
dunia inawatu weng ira wenye utu niwachache sana kinacho mtamburisha mtu sio jinarake wara sura yake wala uzur wake kinacho mtambulisha mtu ni
*tabia nzur
*kaur nzur
*ustarabu
*uskivu
nipende nikupende dunia tunapita pesa wachie wao upendo nipe mimi wp imeandikwa mwanaume ndo awe napesatu hata mwanamke inatakiwa nae awe napesa ira mbona mimi nimekupenda japokuwa hauna pesa
ILOVYOU MI

NIYULE YULE TAJIRI WAUPENDO
MASKINI
WACHUKI
ABU MAHEMBE BY ME
0681305278
mesege tochat
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 14, 2025
ABU MAHEMBE
"we dada njoo njoo nikuto
nikutongozee unisikilizee
alafu njoo njoo nikufii
nikufiikishe kwamama akuoneee
"usijali napenda kuu
kuuongea sana
"nimejaliwa uboo
uboongo waakili
hata ukinipa umwo asee utainyoi
"siombeletu hata nyuma "
napitaga mlango wetu wanyuma huwa nawah kufunga
"nami mwenzako sichagui pakumwaga namwaga moto popote nikimaliza kukuwagaaa
acheni kumanisha
hahahahahahahahahaha
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 13, 2025
ABU MAHEMBE
"utani huu jamaa "alinikuta....
"nimekaa chini yamti
"nimeshika soda naiyangalia nataka ninywe akafika nakuninya nganya
"akanywaa yotee nikamuangaria "
"nikaanza kuria "akaniambia
aaaaa mtani unalia kisa soda nilikuwa nakutania ngoja bas nikakununulie nyingine " namimi nikamwambia shida sio soda minaona leo nisiku yamajanga "nimenda kazini nimefukuzwa kazi "nimetoka njee gari langu limeibiwa naludi nyumbani ety mkewangu ameniacha "ndo nimeweka sumu kwenye soda ninywe nife2 we umeenda kunywa "nayeye kuckia ivo akazimia alivozinduka namimi nikamwambia aaaaaa mtani unazimia nini namimi nilikuwa nakutania
akabaki ameduwaa
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 17, 2025
%inagongwa hazarani
%kira anaejickia huigonga %haina choyo..
%hutoa mayoe makari %sana unapoigonga
%paka watoto %wanashangiria
%haijawahi kuvaa nguo
%inagongwa sana lakin %haizai mda wote %imeninginizwa angani %kila kipindi hugongwa %namti wachuma
%nayo sinyingine nikengele yashuleni
ha ha ha acha ujinga
ABU MAHEMBE
πŸ‘₯ Guest Guest Nov 13, 2025
ABU MAHEMBE "kunaomba omba "amekuja nyumbani
"akanikuta mimi " akaniambia naomba unisaidie kama unahata buku mia amsini mi napokea
"nikamwambia sina hela "akaniambi nisaidie basi hata nguo sina nguo "nikamwambia sina " ""akasema nisaidie hata chakula naskia njaa
"nikamwambia hamna chakula
"akasema eee braza "unaonaje tuongozane kuomba omba wote mana nawewe nikama mimitu hauna kilakitu duu?jamani naombeni hata buku nimpe aendee ila kwel
πŸ‘₯ Salima Guest Jun 26, 2024
Kama kawaida! Bado nacheka! πŸ˜„
πŸ‘₯ Peter Mwambui Guest Jun 16, 2024
Hii imenichekesha sana! πŸ˜„πŸ˜‚
πŸ‘₯ Mwajuma Guest May 26, 2024
πŸ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest May 18, 2024
Hii kichekesho inastahili tuzo! πŸ†
πŸ‘₯ Mwajuma Guest May 8, 2024
😁 Hii ni hazina ya kichekesho!
πŸ‘₯ Ann Wambui Guest Apr 21, 2024
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Anna Mchome Guest Apr 8, 2024
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Kheri Guest Apr 2, 2024
Hii ni kali kabisa! Siwezi kushiba! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joseph Kiwanga Guest Apr 1, 2024
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Maimuna Guest Mar 31, 2024
πŸ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
πŸ‘₯ Grace Mligo Guest Mar 29, 2024
πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜…πŸ‘
πŸ‘₯ Rose Mwinuka Guest Mar 2, 2024
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Charles Wafula Guest Feb 16, 2024
πŸ˜†πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Thomas Mwakalindile Guest Jan 13, 2024
🀣 Ujuzi wa hali ya juu!
πŸ‘₯ Joseph Kitine Guest Dec 14, 2023
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Dec 7, 2023
πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜†
πŸ‘₯ Amani Guest Nov 27, 2023
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Josephine Guest Oct 30, 2023
Sikutarajia hiyo punchlineβ€”kichekesho! 🀣
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest Oct 1, 2023
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Philip Nyaga Guest Sep 7, 2023
Umesema kweli! πŸ‘ŒπŸ˜‚
πŸ‘₯ Alice Mwikali Guest Aug 28, 2023
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Stephen Amollo Guest Aug 25, 2023
πŸ˜‚πŸ‘πŸ˜…πŸ€£
πŸ‘₯ Robert Okello Guest Aug 23, 2023
πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Biashara Guest Aug 21, 2023
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
πŸ‘₯ Benjamin Kibicho Guest Jul 20, 2023
πŸ€£πŸ˜„πŸ˜Š
πŸ‘₯ Elijah Mutua Guest Jul 20, 2023
Hii ni ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Nancy Akumu Guest Jul 11, 2023
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Andrew Odhiambo Guest Jul 3, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Amani Guest May 25, 2023
😁 Kicheko bora ya siku!
πŸ‘₯ Lydia Mutheu Guest May 12, 2023
πŸ˜ƒ Hii imenichekesha kwa sauti kweli!
πŸ‘₯ Victor Kamau Guest May 11, 2023
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! πŸ˜…
πŸ‘₯ Victor Kimario Guest May 8, 2023
😁 Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
πŸ‘₯ Chiku Guest May 7, 2023
πŸ˜† Naihifadhi hii!
πŸ‘₯ Khamis Guest Apr 10, 2023
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hicho!
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Mar 7, 2023
Hii imenifurahisha hadi ninacheka kwa sauti! πŸ˜„πŸ˜…
πŸ‘₯ Henry Mollel Guest Mar 4, 2023
Hii ni joke ya kipekee sana! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Irene Makena Guest Feb 24, 2023
Lazima niihifadhi hii, ni kichekesho kali sana! πŸ˜†
πŸ‘₯ Alex Nyamweya Guest Jan 21, 2023
πŸ˜… Bado ninacheka!
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Dec 28, 2022
🀣 Ninashiriki hii sasa hivi!
πŸ‘₯ Raphael Okoth Guest Nov 25, 2022
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ€£πŸ˜†
πŸ‘₯ Anna Malela Guest Nov 9, 2022
πŸ˜† Ninakufa hapa!
πŸ‘₯ Ruth Mtangi Guest Oct 31, 2022
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Edward Lowassa Guest Oct 22, 2022
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Alice Mwikali Guest Oct 4, 2022
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Anthony Kariuki Guest Sep 29, 2022
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Ruth Mtangi Guest Sep 22, 2022
🀣 Hii imenigonga vizuri!
πŸ‘₯ John Mwangi Guest Jul 14, 2022
πŸ˜… Nilihitaji hii!
πŸ‘₯ David Kawawa Guest Jul 10, 2022
Hizi jokes ni za ukweli! πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest Jul 5, 2022
Hii ni kali sana! πŸ˜‚πŸ€£

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About