Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Mjini shule. Soma hii

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.

Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!

Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsAppโ€ฆ!

_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama ana akili nzuri._

โ€”
_*Kisha nikaituma ile message*_

Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yakeโ€ฆ Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.

*Akatuma message akiniulizaโ€ฆ*

_Hao wanawake unawajuwa, โ€ฆmume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweliโ€ฆ!_

Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaaโ€ฆ!

Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaaโ€ฆ! Akaniandikia message nyingineโ€ฆ.

*โ€ฆNakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupeโ€ฆ Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuriโ€ฆ!*

Nami nikamjibuโ€ฆ

_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipoโ€ฆ!_

Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdaiโ€ฆ!

Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaaโ€ฆ. Kama sio mie!

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 237

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Nancy Akumu Guest Dec 8, 2019
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Chum Guest Dec 4, 2019
๐Ÿ˜… Nilihitaji hii!
๐Ÿ‘ฅ Moses Kipkemboi Guest Nov 30, 2019
๐Ÿคฃ๐Ÿ‘๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Elizabeth Mtei Guest Nov 1, 2019
Nimecheka hadi machozi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Oct 29, 2019
๐Ÿคฃ Sikutarajia hiyo!
๐Ÿ‘ฅ Grace Minja Guest Oct 3, 2019
๐Ÿ˜† Ninakufa hapa!
๐Ÿ‘ฅ Robert Okello Guest Sep 10, 2019
๐Ÿ˜† Hii imenigonga kweli!
๐Ÿ‘ฅ Sekela Guest Aug 29, 2019
๐Ÿ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
๐Ÿ‘ฅ Mary Sokoine Guest Aug 12, 2019
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Mwinyi Guest Jul 3, 2019
Haha, hii ni kicheko bora zaidi nilichopata wiki hii! ๐Ÿ˜
๐Ÿ‘ฅ Kiza Guest Jun 10, 2019
๐Ÿคฃ Hiyo twist mwishoni, ingawa!
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Jun 8, 2019
๐Ÿคฃ Hii kichekesho ni nzuri sana!
๐Ÿ‘ฅ Wande Guest Jun 4, 2019
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Sarah Karani Guest May 23, 2019
Hii kichekesho inastahili tuzo! ๐Ÿ†
๐Ÿ‘ฅ Muslima Guest May 16, 2019
Kama kawaida! Bado nacheka! ๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Paul Kamau Guest May 9, 2019
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Grace Wairimu Guest Apr 30, 2019
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Irene Makena Guest Apr 10, 2019
๐Ÿ˜† Bado nacheka!
๐Ÿ‘ฅ Jamila Guest Apr 8, 2019
๐Ÿ˜ Hii ni dhahabu!
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Majaliwa Guest Apr 3, 2019
๐Ÿ˜Š๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ‘ฅ Anna Malela Guest Apr 2, 2019
๐Ÿ˜‚ Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana!
๐Ÿ‘ฅ George Mallya Guest Mar 14, 2019
Mna talent ya jokes! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Nkya Guest Feb 22, 2019
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! ๐Ÿ†
๐Ÿ‘ฅ Ann Awino Guest Jan 24, 2019
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ๐Ÿ‘๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthoni Guest Jan 23, 2019
Hii ni joke ya kipekee! ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Anna Mahiga Guest Jan 2, 2019
Hii imenifurahisha kweli! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Peter Tibaijuka Guest Dec 23, 2018
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Ruth Mtangi Guest Dec 10, 2018
Nimecheka kwa sauti! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Samuel Omondi Guest Sep 29, 2018
๐Ÿ˜† Naihifadhi hii!
๐Ÿ‘ฅ Omar Guest Sep 29, 2018
Hii kichekesho imenifurahisha sanaโ€”imebamba! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Amani Guest Sep 25, 2018
๐Ÿคฃ Ninashiriki hii na kila mtu!
๐Ÿ‘ฅ Agnes Njeri Guest Aug 31, 2018
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Lucy Kimotho Guest Aug 27, 2018
Hii ni joke ya kipekee sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Victor Mwalimu Guest Aug 18, 2018
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Frank Macha Guest Aug 8, 2018
Nimecheka hadi nina furaha sana! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Athumani Guest Jun 21, 2018
Brilliant! Muda wake ulikuwa kamili! โฐ
๐Ÿ‘ฅ Mchuma Guest Jun 16, 2018
๐Ÿ˜„ Dhahabu ya vichekesho!
๐Ÿ‘ฅ Ruth Wanjiku Guest Jun 8, 2018
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ David Chacha Guest May 30, 2018
Hii imenikuna sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Maimuna Guest Apr 27, 2018
๐Ÿ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
๐Ÿ‘ฅ Jane Malecela Guest Apr 17, 2018
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthui Guest Mar 12, 2018
๐Ÿ˜† Siwezi kuacha kucheka!
๐Ÿ‘ฅ Victor Sokoine Guest Feb 13, 2018
Hii ni bomba sana! ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Charles Mboje Guest Jan 7, 2018
Nimecheka hadi nina furaha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Ann Awino Guest Jan 1, 2018
๐Ÿ˜† Nacheka hadi chini!
๐Ÿ‘ฅ Amani Guest Dec 25, 2017
Hii kichekesho ilikuwa bora! Nimeipenda! ๐ŸŽฏ
๐Ÿ‘ฅ Janet Wambura Guest Dec 23, 2017
๐Ÿ˜„ Umenishika vizuri!
๐Ÿ‘ฅ Anna Mahiga Guest Dec 20, 2017
๐Ÿ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
๐Ÿ‘ฅ David Sokoine Guest Dec 15, 2017
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Henry Mollel Guest Dec 10, 2017
Huyu alikuwa na point! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Majaliwa Guest Nov 18, 2017
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Raphael Okoth Guest Nov 16, 2017
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜…๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Esther Nyambura Guest Oct 31, 2017
๐Ÿ˜† Naihifadhi hii!
๐Ÿ‘ฅ Betty Kimaro Guest Oct 17, 2017
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Nchi Guest Oct 4, 2017
๐Ÿ˜… Nilihitaji kicheko hiki, asante!
๐Ÿ‘ฅ Robert Ndunguru Guest Aug 31, 2017
Hii ni ya maana sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Anna Mchome Guest Aug 11, 2017
Nimefurahia sana hii joke! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Robert Ndunguru Guest Aug 1, 2017
Hizi jokes zinanifanya nicheke kila siku! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ John Kamande Guest Jul 31, 2017
Hii ni joke ya maana sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Henry Sokoine Guest Jul 27, 2017
๐Ÿ˜‚ Nitaiiba hii bila shaka!

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About