Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mtaalamu wa nyuki
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.
Sehemu salama kwa ajili ya mzinga
Unahitaji kutafuta mahali pazuri, salama, na penye sifa ya kufugia nyuki. Vifaa vyote vikishapatikana kinachofuata ni kuchagua mahali gani pa kuweka mzinga. Hakikisha sehemu hii ni mahali ambapo makundi ya nyuki hukusanyika mara kwa mara.
Uwekaji Bora wa Mizinga
Ukishatafuta ya sehemu ya kuweka mizinga, kinachofuata ni kuandaa mizinga kwa ajili ya kuweka panapotakiwa.
Mambo ya muhimu ya kuzingatia
โข Kwanza Safisha mzinga kuondoa uchafu wote, utando wa buibui na aina nyingine za wadudu.
โข Kisha Weka chambo kwenye mzinga (maranyingi nta hutumika kama chambo) kwa kuipaka katika kuta za mzinga kwa ndani.
โข Halafu Mzinga unaweza kutundikwa kwenye mti, kwenye nguzo, kuweka kwenye jukwaa au kwenye miamba. Hii inategemea wewe mwenyewe anapendelea njia ipi.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ngโombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika k...
Read More
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.
<...
Read More
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni m...
Read More
Pilipili hoho ni zao la jamii ya pilipili isiyo kali, tunda lake ni nene ki...
Read More
Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar)
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na weng...
Read More
NYANYA HASA KWENYE OPEN SPACE CHANGAMOTO NI NYINGI, HASA WADUDU, KAMA SASA ...
Read More
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutenge...
Read More
Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!