Viamba upishi
Nyanya 1ย kg
Maji Iita ยฝ
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari
Hatua
โข Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.
โข Chuja juisi.
โข Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, weka
kwenya sufuria safi .
โข Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.
โข Mara ikichemka epua, pozesha na weak kwenya chombo safi kwa
kunywa.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!