Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/katoliki/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?

Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama โ€œutaishia pabayaโ€. โ€œKuishia pabayaโ€ ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi.

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Je, kuna tofauti za kitabia katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna tofauti za kitabia katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna tofauti za kitabia katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna! Ili kufurahi na kufikia kil... Read More

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?

Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaa
zako kuwa na tabia ya kuvuta sig... Read More

Je, kuna tofauti za kimwili katika ngono/kufanya mapenzi?

Je, kuna tofauti za kimwili katika ngono/kufanya mapenzi?

Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya binadamu na inaweza kuwa njia ya kujifunza, kufurahia, ... Read More

Nifanyeje Kupata Msaada wa Kisaikolojia Kuhusu Masuala ya Ngono?

Nifanyeje Kupata Msaada wa Kisaikolojia Kuhusu Masuala ya Ngono?

๐ŸŒŸNifanyeje Kupata Msaada wa Kisaikolojia Kuhusu Masuala ya Ngono? ๐ŸŒŸ

Habari kijana! L... Read More

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono

Jinsi ya Kuheshimu Maamuzi ya Mwenzi Wako kuhusu Ngono ๐Ÿ˜Š

Karibu kwenye makala hii nzuri... Read More

Jinsi ya Kutambua Ishara za Upendo kutoka kwa Msichana

Jinsi ya Kutambua Ishara za Upendo kutoka kwa Msichana

Upendo ni hisia ambazo zinafanya maisha kuwa na maana zaidi. Kila mtu anapaswa kupata upendo, na ... Read More

Sheria kuhusu utoaji mimba

Sheria kuhusu utoaji mimba

Sheria kuhusu utoaji
mimba zinatofautiana
kati ya nchi na nchi. Hapa
Tanzania utoa... Read More

Je, mtu anaweza kuzuia kupata mimba baada yakujamiiana bila kinga (kufanya ngono zembe) kwa mfano amebakwa?

Je, mtu anaweza kuzuia kupata mimba baada yakujamiiana bila kinga (kufanya ngono zembe) kwa mfano amebakwa?

Kama umebakwa au kulazimishwa kujamiiana unaweza kupata
huduma katika hospitali, kituo cha a... Read More

Jinsi ya Kupata Msichana wa Kuwa na Uhusiano wa Mbali

Jinsi ya Kupata Msichana wa Kuwa na Uhusiano wa Mbali

Jinsi ya Kupata Msichana wa Kuwa na Uhusiano wa Mbali

Kuwa na uhusiano wa mbali sio rahisi... Read More

Madhara yatokanayo na ukeketaji

Madhara yatokanayo na ukeketaji

Ukeketaji au tohara ya wanawake ni hatari sana kwa msichana anayetahiriwa. Wasichana hufa kutokana n... Read More
Nifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana au kufanya mapenzi?

Nifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana au kufanya mapenzi?

Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa ... Read More
Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?

Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?

Katika masuala ya athari za mimba katika umri mdogo ni
kwamba vijana Albino hawana tofauti n... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About