Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Ni lazima asadiki kwamba;
Mungu yupo mmoja. Bwana wetu na Baba yetu, mwenye kuwatunza watu wema mbinguni na kuwaadhibu watu wabaya motoni milele (Mt. 15:41,46)
Katika Mungu mmoja kuna nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu (Yoh. 14:16, 17).
Nafsi ya pili alishuka duniani akajifanya mtu, akatuokoa utumwani mwa shetani, akatufundisha mambo gani tusadiki, mambo gani tutende, akatupa alama ya ukombozi wetu ndio ubatizo.
Ubatizo wafuta kabisa uovu wa mtu na kutakasa roho zetu.
Mwenye kubatizwa atubu na kurudisha alichoiba na kupatana na maadui n.k