Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Ujumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye
Updated at: 2024-05-25 15:36:01 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema mpenzi
Ujumbe kwa mpendwa kumwambia unampenda na kumuomba akupende
Updated at: 2024-05-25 15:24:25 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!
SMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"