Β· Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baada
ya kutayarisha chakula
Β· Tumia vyombo safi na sehemu safi kwa
kutayarisha na kula chakula
Β· Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kula
Β· Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikoni
dakika kumi baada ya kuchemka
Utayarishaji bora wa chakula
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
