Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako 2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanampenda MUNGU mno hapana ni sababu wanamwogopa shetani na majeshi yake na muda mwingine hata watumishi wa MUNGU wanamsaidia kwa kuhubiri mno na muda mwingine kuongeza jumvi juu ya nguvu za giza kuna wahubiri huambatanisha kila kitu na vifungo vya nguvu za giza na kusahau kuhubiri uzuri na wema wa MUNGU kwetu. 3.Kutufanya tusahau uwepo wake au kuupuzia. pale tunapokuwa hatupay attention existance ya shetani yeye ndio hupata wakati mzuri wa kutupiga ,sababu ni rahisi mno kutouutambua ubaya wa dhambi kama hatutaamini uwepo wa shetani ktk uovuโ€ฆhii hutupelekea kutenda dhambi na kuziona siyo dhambi mfano kwa wasomi wengi hupuuzia baadhi ya mambo kama kujilinda na zinaa wakiamini ni kupitwa na wkt kama utakuwa hauna mahusiano ya kingono mpaka umefika chuo kikuu tena huchukulia wasiokuwa hivyo ni wagonjwa.hapo ni kuwa wengi wameignore uwepo wa shetani "no devil no evil" hivyo watu ndio hupotea. 4.KUTUTIA MOYO WAKATI WA KUTENDA DHAMBI NA KUTUKATISHA TAMAA YA KUSAMEHEWA. nitatoa mfano huu mtu ambaaye anataka kufanya uzinzi shetani humtia moyo kuwa MUNGU anajua kuwa sisi ni binadamu dhaifu na yeye husamehe dhambi zetu daima lakini ifikiapo wakati ukataka kutubu hafanya kila njia kukukatisha tamaa ya kusamehewa na hututia aibu hata kutsmka kwa padri kuwa nimedhini maana huanza kufikiria padre atanionaje mimi. BASI NDUGU TUSISINZIE BALI TUWE MACHO DAIMA MSHITAKI WETU YU MACHO KUTUJARIBU.
AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 50

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Chris Okello Guest Jul 6, 2024
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
๐Ÿ‘ฅ Wilson Ombati Guest May 12, 2024
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
๐Ÿ‘ฅ James Kimani Guest Apr 29, 2024
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
๐Ÿ‘ฅ Philip Nyaga Guest Apr 5, 2024
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
๐Ÿ‘ฅ Anna Kibwana Guest Mar 10, 2024
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
๐Ÿ‘ฅ Margaret Mahiga Guest Sep 27, 2023
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
๐Ÿ‘ฅ Margaret Mahiga Guest Jul 2, 2023
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
๐Ÿ‘ฅ Josephine Nduta Guest Oct 30, 2022
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Michael Onyango Guest Aug 21, 2022
Mwamini Bwana; anajua njia
๐Ÿ‘ฅ Benjamin Kibicho Guest Apr 16, 2022
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthui Guest Jan 3, 2022
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
๐Ÿ‘ฅ Ruth Kibona Guest Apr 4, 2021
Mungu akubariki!
๐Ÿ‘ฅ Simon Kiprono Guest Oct 24, 2020
Kwa Mungu, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Sharon Kibiru Guest Sep 17, 2020
Nakuombea ๐Ÿ™
๐Ÿ‘ฅ Sarah Mbise Guest Apr 9, 2020
Imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ John Malisa Guest Feb 1, 2020
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
๐Ÿ‘ฅ Charles Mrope Guest Dec 31, 2019
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
๐Ÿ‘ฅ Jane Muthui Guest Nov 1, 2019
Tumaini ni nanga ya roho
๐Ÿ‘ฅ Chris Okello Guest Oct 22, 2019
Wakati wa Mungu ni kamilifu
๐Ÿ‘ฅ Edward Chepkoech Guest Oct 20, 2019
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
๐Ÿ‘ฅ Samuel Were Guest Sep 30, 2019
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
๐Ÿ‘ฅ Anna Mchome Guest Sep 7, 2019
Katika imani, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Samuel Were Guest Aug 23, 2019
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
๐Ÿ‘ฅ Grace Mligo Guest Jul 11, 2019
Baraka kwako na familia yako.
๐Ÿ‘ฅ James Malima Guest Nov 27, 2018
Neema ya Mungu inatosha kwako
๐Ÿ‘ฅ Joseph Kitine Guest Nov 6, 2018
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
๐Ÿ‘ฅ Lucy Mahiga Guest Sep 26, 2018
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Sep 7, 2018
Nguvu hutoka kwa Bwana
๐Ÿ‘ฅ Edward Chepkoech Guest Jul 23, 2018
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
๐Ÿ‘ฅ Margaret Mahiga Guest Jul 5, 2018
Mwamini katika mpango wake.
๐Ÿ‘ฅ Joseph Njoroge Guest Mar 6, 2018
Mungu ni mwema, wakati wote!
๐Ÿ‘ฅ Charles Mboje Guest Feb 20, 2018
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
๐Ÿ‘ฅ Chris Okello Guest Dec 25, 2017
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Monica Lissu Guest Dec 3, 2017
Sifa kwa Bwana!
๐Ÿ‘ฅ Alex Nyamweya Guest Oct 26, 2017
Dumu katika Bwana.
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Sep 30, 2017
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
๐Ÿ‘ฅ Charles Mrope Guest Jan 26, 2017
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Nov 28, 2016
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
๐Ÿ‘ฅ Nancy Akumu Guest Sep 25, 2016
Endelea kuwa na imani!
๐Ÿ‘ฅ Josephine Nduta Guest Aug 17, 2016
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
๐Ÿ‘ฅ Francis Mtangi Guest May 22, 2016
Rehema zake hudumu milele
๐Ÿ‘ฅ Grace Mligo Guest Dec 6, 2015
Rehema hushinda hukumu
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Nkya Guest Nov 17, 2015
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
๐Ÿ‘ฅ Vincent Mwangangi Guest Oct 26, 2015
Tembea kwa imani, si kwa kuona
๐Ÿ‘ฅ James Mduma Guest Sep 15, 2015
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
๐Ÿ‘ฅ George Wanjala Guest Sep 14, 2015
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Aug 1, 2015
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
๐Ÿ‘ฅ Rose Amukowa Guest Jul 12, 2015
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Ruth Kibona Guest May 16, 2015
Neema na amani iwe nawe.
๐Ÿ‘ฅ Hellen Nduta Guest Apr 11, 2015
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About